Simba Sports Club wameingia rasmi kwenye mkataba mnono na kampuni ya kubashiri ya Sport pesa ambao una thamani ya bilioni 4.9
Mkataba huo umesainiwa jana mara baada ya game na Stand United Simba Kwa sasa itapokea Milioni 800 kwa muhula wa kwanza wa mkataba huo, kila Mwaka itakuwa ukiongezeka kwa asilimia 5%
Sport Pesa wamewaahidi Simba kama watachukua ubingwa watapata bonus ya milioni 100, na endapo wataweza kuchukua ubingwa wowote wa Caf watapata milioni 250
SPORT PESA YAINEEMESHA SIMBA
Title: SPORT PESA YAINEEMESHA SIMBA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Simba Sports Club wameingia rasmi kwenye mkataba mnono na kampuni ya kubashiri ya Sport pesa ambao una thamani ya bilioni 4.9 Mkataba hu...
Inshaallah siyo mbaya.
ReplyDeleteHyo nyongeza ni asilimia 5 au 6,but all in all uko poa but usiwafunge macho viongozi wakatupilia mbali agenda ya mabadiliko
ReplyDelete