Timu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya wapiga debe wa Shinyanga Stand United.
Stand united walikuwa wa kwanza kupata goli katika dakika ya kwanza ya mchezo lilofungwa na Kassim Selembe baada ya makosa ya mabeki wa Simba, Simba ilisawazisha kupitia Juma Luizio alieunganisha vema krosi ya Shiza kichuya katika dakika ya 21, Katika dakika ya 34 juma Luizio aliandika Simba goli la pili na la ushindi baada ya mabeki wa stand kuzubaa wakijua ameotea.
Simba walifanya mabadiliko kwa kuwatoa Juma Luizio, shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim nafasi zao kuchukuliwa na Mwinyi Kazimoto, Abdi Band Na Pastory Atanas
Simba amebaksha mchezo mmoja na Mwadui na ndio wa mwisho katika Ligi kuu
SIMBA YAENDELEZA UBABE LIGI KUU YAICHAPA STAND
Title: SIMBA YAENDELEZA UBABE LIGI KUU YAICHAPA STAND
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya wapiga debe wa Shinyanga Stand United. Stand united walikuwa wa kwanza kup...
Alhamdulillah! Ushindi muhimu sana mapambano yanaendelea.
ReplyDelete