Miamba wa soka wa Hispania licha ya kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapinzani wao Atletico Madrid wamefuzu kucheza fainali ya klabu bingwa barani ulaya kwa vilabu baada ya kushinda mchezo wa awali bao 3-0 mabao yote ya kifungwa na Cristiano Ronaldo.
Atletic walianza kwa kasi na kupata magoli mawili yalofungwa kwa haraka na Saul pamoja na Griezman kwa mkwaju wa penat kabla ya mchezaji kinda wa Spain Isco hakuikata furaha ya Atletico
Real Madrid watakabiliana na Juventus katika
uwanja wa Cardiff tarehe 3 mwezi Juni.
PAMOJA NA KICHAPO REAL MADRID YAIFATA JUVE CARDIFF
Title: PAMOJA NA KICHAPO REAL MADRID YAIFATA JUVE CARDIFF
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Miamba wa soka wa Hispania licha ya kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapinzani wao Atletico Madrid wamefuzu kucheza fainali ya klabu bingwa ...
Post a Comment