Shirikisho la soka duniani Fifa limepitisha adhimio lake la kulipatia bara la Afrika nafasi 9 kwenye kinyanganyiro cha kombe la dunia litakapoongeza timu zitakazoshiriki katika michunao hiyo itakayofanyika mwaka 2026 na kupelekea kufikisha timu 48
Bara la Afrika lina nafasi tano tu kwa
sasa, hatua ya kuziongezea timu na kufikia tisa imepitishwa jana kwenye kikao
cha FIFA kilichofanyika Bahrain
Wanachama wote wa Fifa walipiga kura ya
ndiyo kuongeza timu kutoka 32 hadi 48
Post a Comment