SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA WAYAYUSHA ALMASI YA MWADUI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc. imeendleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga timu ya timu ya Mwadui fc magoli 3-0 katika uwanja wa Ccm Kambarag...
Timu ya soka ya Simba sc. imeendleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga timu ya timu ya Mwadui fc magoli 3-0 katika uwanja wa Ccm Kambarage,mkoani Shinyanga.

Mpaka mapumziko Simba sc ilikuwa inaongoza kwa magoli mawili yaliofungwa na Mohamed Ibrahim katika dakika ya 33 na Shizya Kichuya aliyeunganisha vyema pasi ya Mohamed ibrahim katika dakika ya 45.
Katika dk ya 50 Simba sc ilipata goli la tatu kupitia Mohamed Ibrahim aliyeunganisha pasi ya Ame Ali.  
Simba sc iliweza kufanya mabadiliko kadha kwa kumtoa Mwinyi Kazimoto na nafasi yake ilichukuliwa na Ibrahim Ajib,Laudit Mavugo alitoka na nafasi yake ikachukuliwa na Ame Ali,Shizya kichuya na nafasi yake ikachukuliwa na Said Hamis

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top