Timu ya soka ya Simba sc leo hii imepata ushindi wake wa kwanza ugenini kwa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Mbeya city katika uwanja wa kumbukumbu wa sokoine jijini Mbeya
Simba sc ilipata goli lake la kwanza kwa njia ya faulo aliyopiga Ibrahim Ajib na kuifanya Simba iwe mbele kwa goli 1-0,katika dk ya 34 Simba iliongeza goli la pili kupitia Shiza Kichuya na kufanya timu ya Simba mpaka mapumziko kuongoza goli 2-0.
Hata hivyo katika mechi hiyo mchezaji wa Simba sc Fredrick Blagnon alikosa penati, katika Kipindi cha Pili Simba ilimpoteza Shiza kichuya baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Mohamed Ibrahim
Matokeo mengine ya ligi kuu
Mbeya City 0 - 2 Simba
Stand United 1- 0 Azam
Yanga 3 - 1 Mtibwa
SIMBA USIPIME YAIKUNGUTA MBEYA CITY 2-0
Title: SIMBA USIPIME YAIKUNGUTA MBEYA CITY 2-0
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc leo hii imepata ushindi wake wa kwanza ugenini kwa magoli 2-0 dhidi ya timu ya Mbeya city katika uwanja wa kumbuk...
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMwaka huu watapasuka sanaa....mnyama anabonda tu bila kujali ni nyumbani au ugenini
ReplyDeletesimba mwendo mdundo! ni kazi kwa kwenda mbele
ReplyDeleteNa bado hicho ni kianzio
ReplyDelete