Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu Tanzania ‘Taifa Stars’,
Charles Boniface Mkwasa, ametangaza wachezaji 20 watakaounda kikosi
kitakachosafiri mwishoni mwa mwezi huu kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa
mwisho wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017)
dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo, Super Eagles.
Kikosi
Kamili:
Magolikipa:
Deogratius
Munishi, Aishi Manula.
Walinzi:
Kelvin
Yondani, David Mwantika, Vincent Andrew, Shomari Kapombe, Mwinyi Haji,
Mohamed Hussein.
Viungo:
Jonas
Mkude, Himid Mao, Muzamiru Yassin, Shiza Ramadhan, Farid Mussa, Simon Msuva. Ibrahim
Jeba
Washambuliaji:
Post a Comment