Timu ya soka ya Simba sc imeshindwa kufanya vyema baada ya kutoka sare ya 0-0 na Azam fc katika uwanja wa Taifa
Timu hizo zote zilionyesha kulingana nguvu baada ya mapumziko timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.
Simba sc mpaka sasa ipo katika nafasi ya Tatu ikiwa na pointi 58 wakati Azam fc imeendlea kujikita katika nafasi ya pili ikiwa na pointi 59 timu zote hizo zimebakiza michezo minne tu.
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment