SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SINGIDA YAIFUTA NJOMBE MJI ROBO FAINALI FA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Singida United imekuwa ya pili kutinga robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuifunga Polisi Tanzania ma...
Timu ya Singida United imekuwa ya pili kutinga robo fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya kuifunga Polisi Tanzania mabao 2-0 mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Namfua.

Njombe Mji ndio timu ya kwanza kutinga hatua hiyo baada ya kuifunga Mbao FC kwa mikwaju ya penati 5-4 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Februari 21.

Singida ambayo inakamata nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kusonga mbele kutokana na ubora wa wachezaji waliopo ukilinganisha na wapinzani wao.

Vijana hao wa kocha Hans van Pluijm walipata mabao hayo kupitia kwa mlinzi Juma Kennedy dakika ya 70 na kiungo Tafadzwa Kutinyu dakika ya 77.

Muda mfupi ujao Azam FC itakuwa mgeni wa KMC katika mchezo utakaofanyika kwenye uwanja wa Azam Complex.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top