Shirikisho la mpira miguu barani Afrika (CAF) limetaja majina ya waamuzi watakaochezesha mechi klabu bingwa kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers na ile ya Shirikisho baina ya Simba na Al Masry.
Mchezo kati ya Yanga dhidi ya Rollers utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Machi 6 utachezwa na waamuzi kutoka Burundi wakati ule wa marudiano ukichezeshwa na waamuzi kutoka Morocco.
Mwamuzi wa kati atakuwa Pasific Ndabihawenimana akisaidiwa na Will Habimana na Paschal Ndimunzingo wakati Kamishna wa mchezo akiwa Mangalizo Jabalani.
Kwa upande wa Simba dhidi ya Al Masry watakaocheza Machi 7 uwanja wa Taifa utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Afrika Kusini.
Mwamuzi wa kati atakuwa Thado Ndzandzeka akisaidiwa na Zakele Thuisi Simon na Christopher Harrison wakati kamishna wa mchezo akiwa Tuccu Guish.
HAWA HAPA WAAMUZI WA SIMBA, YANGA MECHI ZA KIMATAIFA
Title: HAWA HAPA WAAMUZI WA SIMBA, YANGA MECHI ZA KIMATAIFA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Shirikisho la mpira miguu barani Afrika (CAF) limetaja majina ya waamuzi watakaochezesha mechi klabu bingwa kati ya Yanga dhidi ya Townshi...
YANGA KAZI KWENU HAPO MAANA MNAONGEA LUGHA MOJA NA WAAMUZI.
ReplyDeleteHahaa hata sisi pia
ReplyDelete