Bayern Munich wapo
mbioni kumrudisha kocha Jupp Heynckes, 72, ambaye aliiongoza timu hiyo kushinda
matatji matatu 2013 
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 24, anasema kuna uwezekano wa yeye
kuhamia Real Madrid 
Vita ya Ross Barkley
sasa Spurs itashindana na Chelsea katika kumsajili kiungo huyo
Washambuliaji Ben
Woodburn, 17, na Roberto Firmino, 26, wanatarajiwa kuweka kandarasi mpya za
muda mrefu na Liverpool



Post a Comment