Timu ya soka ya Simba
imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma FC katika mchezo wa kirafiki
uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Goli la Simba lilifungwa na kiungo Said Ndemla kwa shuti kali kabisa katika dakika ya 70
Dodoma Fc inashiriki ligi daraja la kwanza inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi sita
Kocha wa Simba Joseph Omog aliwatumia wachezaji ambao hawapati nafasi kwenye kikosi cha kwanza


Post a Comment