Raundi ya tano ligi kuu vodacom Tanzania bara imemalizika wikiendi hii tumekuekea hapa matokeo yote
Young
Africans 0-0 Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Ndanda 2-1
Lipuli FC
Majimaji
0-0 Kagera Sugar.
Singida
United 1-1 Azam FC.
Mwadui
0-0 Mbeya City
Mbao
FC 1-1 Tanzania Prisons
Ruvu
Shooting 1-1 FC Njombe ta
Stand
United 1-2 Simba


Post a Comment