Wekundu wa Msimbaz Simba wapo Dodoma tayari
kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Dodoma FC kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri
Dodoma.
Simba iliokuwa kanda ya ziwa kwa
michezo miwili ya ligi dhidi ya Mbao fc na Stand United itakipiga na timu ya
Dodoma fc iliyo chini ya Kocha Jmahuri Julio
Mchezo huo ni maalum kwa ajili ya
mwalimu Omog kuangalia wachezaji wake ambao hakupata nafasi ya kuwatumia bado
wakati huu ambapo ligi kuu inasimama kwa mda wa siku 14


Post a Comment