Manchester United imepangiwa kibonde katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la ligi (Corabao Cup) ambayo wao ndio mabingwa watetezi.
Droo ya michuano hiyo imepangwa muda mfupi uliopita ambapo United inayonolewa na kocha Jose Mourinho imepangwa kucheza na Bristol City inayoshiriki ligi daraja la kwanza ambapo itaanzia ugenini.
Wenyeji wao Man City wamepangiwa kucheza na Leicester City ambayo jana imemtangaza Claudio Puel kuwa kocha wao mkuu.
Chelsea wao watacheza na AFC Bournemouth wakianzia nyumbani wakati Arsenal wakipangwa kucheza na West Ham United ambao waliwatoa Tottenham Hotspur jana.
Ratiba kamili ya hatua hiyo robo fainali
Chelsea v Bournemouth
Arsenal v West Ham
Leicester v Manchester City
Bristol City v Manchester United
MAN UNITED YAPATA KIBONDE ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI
Title: MAN UNITED YAPATA KIBONDE ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Manchester United imepangiwa kibonde katika hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la ligi (Corabao Cup) ambayo wao ndio mabingwa wate...
HAO MANYAU WENYEWE VIBONDE KULIKO HAO WALIOPANGWA NAO.
ReplyDeleteHAO MANYAU WENYEWE VIBONDE KULIKO HAO WALIOPANGWA NAO.
ReplyDelete