SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: OKWI NA BOCCO WAINYUKA MWADUI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba imeinyuka Mwadui ya Shinyanga bao 3-0 katika uwanja wa Uhuru jioni ya leo. Mpaka mapumziko Simba walikuwa mbele kw...
Timu ya soka ya Simba imeinyuka Mwadui ya Shinyanga bao 3-0 katika uwanja wa Uhuru jioni ya leo.

Mpaka mapumziko Simba walikuwa mbele kwa bao 1-0 goli lilofungwa na Emanuel Okwi katika dakika ya 7.

Kipindi cha pili Simba walianza kwa kasi na Emanuel okwi akaiandikia Simba goli la pili kabla ya nahodha John Bocco kufunga goli la 3

Simba walifanya mabadiliko kwa kuwatoa Mzamiru Yassin, Asamoha Gyan na Shiza kichuya, nafasi zao zilichukuliwa na Mwinyi Kazimoto, Laudit Mavugo na Jonas Mkude

Simba amefikisha pointi 7 katika michezo mitatu

Mechi ijayo Simba watakuwa wageni wa Mbao mjini Mwanza siku ya alhamisi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top