Mzunguko
wa tatu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), uliendelea wikiendi
iliyopita na hapa tumekuekea matokeo yote ya ligi kuu
Azam FC 1-0 Kagera Sugar
Majimaji FC 1-1 Young
Africans
Mtibwa Sugar 2-1 Mbao
Tanzania Prisons 1-1 Ndanda
FC
Lipuli Fc 0-0 Ruvu
Shooting
Stand United 0-1 Singida
United
Mbeya City 1-0 Njombe
Mji
Simba SC 3-0 Mwadui FC.


MATOKEO YAMENOGA.
ReplyDelete