Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi amejishindia
tuzo ya klabu yake ya Simba inayotolewa kila mwezi na kalbu hiyo ili kuwapa
motisha wachezaji wake kujituma zaidi.
Msimu huu wa 2017-2018 tuzo hiyo ni ya kwanza
kutolewa na klabu hiyo na mchezaji huyo anakuwa wa kwanza kujinyakulia tuzo
hiyo pamoja na shilingi 500,000 taslimu
Okwi amekuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti na
Septemba wa klabu ya Simba
Okwi ambae amecheza mechi mbili na kufunga goli 6 amejinyakulia
tuzo mbili ndani miezi miwili Agosti na Septemmba baada ya kushinda tuzo ya
Ligi Kuu Vodacom ya kila mwezi kwa mwezi Agosti inayotolewa na wadhamini hao


Post a Comment