Michezo ya Ligi kuu nchini Uingereza iliendelea
wikiendi hii kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti Mchezo mmoja tu
ambao haukupigwa wikiendi ni Arsenal na West brom utakaopigwa kesho Jumatatu
Hapa tumekuekea matokeo yote ya ligi kuu
West Ham United 2-3 Tottenham Hotspur
Burnley 0-0 Huddersfield Town
Everton 2-1 AFC Bournemouth
Manchester City 5-0 Crystal Palace
Southampton
0-1 Manchester United
Stoke City 0-4 Chelsea
Swansea City 1-2 Watford
Leicester City 2-3 Liverpool
Brighton & Hove Albion 1-0 Newcastle United






Post a Comment