SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: KENYA YANYANGANYWA TONGE MDOMONI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Shirikisho la soka barani Afrika Caf chini ya rais Ahmad imeipokonya Kenya uandaajji wa mashindano ya CHAN kwa mwaka 2018 Katika mkutan...
Shirikisho la soka barani Afrika Caf chini ya rais Ahmad imeipokonya Kenya uandaajji wa mashindano ya CHAN kwa mwaka 2018

Katika mkutano wa kamati kuu Caf uliofanyika Nchini Ghana ulifikia uamuzi huo baada ya Kenya kuchelewa kupeleka ripoti kuu ya ukaguzi iliofanyika nchini Kenya
Caf imesema timu yake ya ukaguzi ilizuru Nchini Kenya na katika viwanja vine ni uwanja mmoja tu umekidhi kigezo cha michuano hiyo
Chama cha Soka nchini Kenya kimesema ilijitaidi kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha michuano ya CHAN inafanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top