Klabu Bingwa barani Ulaya inaendelea leo tena baada ya
jana kupigwa michezo kadhaa ya mzunguko wa pili leo wanahitimisha kwa miamba
wengine wa soka kukipiga
Mechi zote zitaanza saa 3:45 usiku tumekuekea hapa ratiba
yote
FC Basel v Benfica
CSKA Moscow v Manchester United
Anderlecht v Celtic
PSG v Bayern Munich.
Qarabag v As Roma
Atletico Madrid v Chelsea
Juventus v Olympiacos
Post a Comment