Timu ya Simba
inatarajia kucheza mechi ya kirafiki ya dhidi ya wanajeshi wa Pemba Hard rock
Sports Club iliyo chini ya Kocha Muhibu Kanu itakayopigwa siku ya Eid Ijumaa saa 10 jioni kwenye
uwanja wa Uhuru Dar es salaam
Mechi hiyo ni kipimo kizuri kwa kocha Omog kuwaangalia wachezaji wake wengine ambao hajawatumia


Post a Comment