Real Madrid usiku wa
kuamkia leo imeichapa Atletico Madrid mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali
ya kwanza uliopigwa hapo jana jumanne katika dimba la Estadio Santiago Bernabeu
jijini Madrid.
Cristiano Ronaldo ndio alikuwa mwiba kwa Atletico baada
ya kufunga mabao matatu alipachika mabao hayo katika dakika ya 10 kipindi cha
kwanza na kuandika bao la pili dakika ya 73 kipindi cha pili ,huku akihitimisha
karamu ya mabao matatu dakika ya 86 kipindi cha pili.
Post a Comment