Wakati ligi kuu ya soka ya uingereza ikikimbilia ukingoni huku vita kubwa ya ubingwa ikionekana imeegemea kwa timu mbili za London ,Chelsea na Tottenham Hostspurs,wenzao wakubwa wenzao wa London inaonekana ni mwaka wa shetani kwao baada ya kushindwa.kutoa hata mchezaji mmoja kwenye timu ya mwaka ya wachezaji wa kulipwa iliyotolewa na chama cha soka cha uingereza FA.
Kama
ilivyo katika mbio za ubingwa ,timu mbili za Chelsea na spurs ndizo zinaongoza
kwa kutoa wachezaji wengi huku timu zingine kama Liverpool.na Manchester united
zikitoa mchezaji mmoja mmoja.
Timu
bora ya mwaka kwa mujibu wa FA ni kama.ifuatavyo:-
Golikipa
David
de Gea(Man u)
Mabeki
Kayle walker...Spurs...
Danny Rose...Spurs
David Luis....Chelsea
Gary
Cahil...Chelsea
Viungo
Delle
Ali.....Spurs
Ngolo
kante...Chelsea
Eden
hazard...Chelsea
Sadio
Mane...Liverpool.
Washambuliaji
Romelu
lukaku....Everton
Harry
Kane......Spurs


Mh
ReplyDelete