SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA YATINGA NUSU FAINALI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba SC imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la shirikisho(ASFC) baada ya kuifunga timu ya Madini kwa...

Timu ya soka ya Simba SC imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la shirikisho(ASFC) baada ya kuifunga timu ya Madini kwa bao 1-0 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.

Mpaka mapumziko timu zote zilitoka sare ya bila kufungana.

Goli pekee la mchezo huo lilifungwa na Laudit Mavugo katika dk ya 55.


Katika mchezo mwingine uliofanyika Jana kwenye uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera timu ya Mbao FC nayo ilifuzu kuingia nusu fainali baada ya kuifunga Kagera Sugar 2-1


Simba Inakuwa timu ya Pili kuingia Nusu fainali ikiungana na Mbao

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top