Ikicheza mbele ya Mashabiki wake wengi waliojitokeza kuisapoti Twiga stars imekubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa wazimbabwe
Twiga stars waliandika bao la kuongoza kupitia kwa Mwanahamisi Omary ambalo halikudumu mda mrefu wazimbabwe walisawazisha bao hilo kupitia kwa mchezaji wao Erina Jeke.
Erina Jeke aliiongezea zimbabwe goli la pili na la ushindi mnamo dakika ya 46 ya mchezo na kuwafanya mashabiki wa Twiga stars wakiondoka vichwa chini.
Twiga Stars italazimika
kusafiri kwenda Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya marudiano ambapo
itahitaji ushindi mnono wa ugenini ili iweze kusonga mbele.
TWIGA STARS YAAMBULIA KICHAPO NYUMBANI
Title: TWIGA STARS YAAMBULIA KICHAPO NYUMBANI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Ikicheza mbele ya Mashabiki wake wengi waliojitokeza kuisapoti Twiga stars imekubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa wazimbabwe Twiga stars w...
Post a Comment