SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: LIGI KUU TANZANIA BARA: AZAM NA YANGA KUMENYANA KESHO TAIFA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo s aba kuchezwa katika viwanja tofauti,. Macho na masikio ya w...
Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti,.

Macho na masikio ya wengi yatakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa mpambano baina ya Azam na Yanga utakaoanza saa kumi jioni.


Tumekuekea ratiba ya mechi nyingine za kesho
 Jkt Ruvu Vs Mwadui Fc
African sports Vs Majimaji Fc
Tanzania Prisons Vs Stand United 
Toto Africans Vs Ndanda fc
Kagera Sugar Vs Mgambo Shooting v
Mtibwa Sugar Vs Coastal union

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top