SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIFUMUA NDANDA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Simba Sc imerejea kileleni tena baada ya kuifunga timu ya Ndanda fc kutoka Mtwara kwa Magoli 3-0 katika uwanja wa taifa jioni ya leo. ...
Simba Sc imerejea kileleni tena baada ya kuifunga timu ya Ndanda fc kutoka Mtwara kwa Magoli 3-0 katika uwanja wa taifa jioni ya leo.
Magoli ya Simba yamefungwa na Mwinyi kazimoto na Hamis Kiiza ameweza kuifungia timu yake hiyo Magoli mawili katika kipindi cha pili

Mpaka sasa simba imerudi kileleni baada ya kufikisha Pointi 51 katika michezo 22 iliyocheza
Mechi ijayo Simba itacheza na Tanzania Prisons katika uwanja wa taifa.



About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top