Timu ya soka ya Simba Sc imeendeleza wimbi la
ushindi baada ya kuifunga timu ya
Tanzania prisons kwa goli 1-0 katika mechi ya ligi kuu iliyofanyika leo katika
uwanja wa taifa.
Goli pekee katika mechi hiyo lilifungwa na Awadh
juma alieingia baada ya Justice Majabvi. Simba iliweza pia kufanya mabadiliko
kwa kumtoa Mussa Mgosi na kuingia Danny Lyanga na Hamis kiiza alitoka nafasi
yake ikachukuliwa na Raphael kiongera
Simba mpaka sasa naongoza Ligi kuu ikiwa na pointi
54
Post a Comment