Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa
kuendelea kesho kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja tofauti,.
Macho na masikio ya wengi yatakuwa katika Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam kwa mpambano wa watani wa jadi baina ya Yanga na Simba
Tumekuekea ratiba ya mechi nyingine za kesho
Mbeya City v
Azam
Stand United
v JKT Ruvu
Toto
Africans v Kagera Sugar
Mgambo Shooting v Tanzania Prisons
Majimaji FC
v Mtibwa Sugar
Post a Comment