Michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)
inatarajiwa kuendelea leo hii kwa mzunguko wa nne katika hatua ya 16 bora,
kwa michezo miwili kuchezwa leo.
Mwadui FC watawakaribisha maafande wa Rhino
Rangers katika uwanja wa Mwadui Complex mjini Shinyanga, wakati jijini
Mbeya Mahasimu wawili wanakutana Tanzania Prisons dhidi ya Mbeya City katika uwanja wa
Sokoine jijini humo.
Mzunguko wa nne utaendelea tena kesho.
About Author

Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment