Gianni Infantino amefanikiwa kushindi kiti cha Urais cha Fifa baada ya kushinda kwa kura 115 katika raundi ya pili ikiwa ni kura
27 zaidi ya mpinzani wake wa karibu Sheikh Salman Ebrahim
Katibu mkuu huyo wa Fifa alipata kuraamechukua nafasi ya Rais wake wa zamani Sepp Blatter baada ya kukutwa na kashfaBaada ya kuchaguliwa kuwa Rais aliwaambia wajumbe kwamba ''kwa pamoja wataweza kuirudisha sura ya Fifa na heshima ya Fifa''.
Post a Comment