Guardiola, atachukua majukumu hayo kuanzia Julai, klabu hiyo ya Ligi ya Premia imetangaza.
Manuel Pellegrini ataondoka klabu hiyo Juni 30 baada ya kumalizika kwa msimu wa sasa.
Katika taarifa yao City
wamesema kuwa Pellegrin ameshirikishwa kwa kiwango kikubwa katika mchakato huo
na kwamba kwa sasa ameweka nguvu zake katika kuhakikisha anamaliza msimu huu
kwa mafanikio.
Post a Comment