Tawi la simba Damu Fans lenye makao makuu yake Tabata Kimanga wilaya ya ilala leo limefanya uchaguzi wa kwanza tangu lifunguliwe rasmi kuwa tawi na Rais wa Simba Ndugu Evance Aveva
Ripot kamili ya uchaguzi huo ni kama ifuatavyo
KARIM BOIMANDA ambaye hakuwa na mpinzani amechagulia
kuwa mwenyekiti wa SDF kwa kupata kura 20 kati ya 30 zilizopigwa, 10
ziliharibika na hakukuwa na kura ya HAPANA
SEVERINE MACHILLA amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kupata kura 23 huku mpinzani wake Rakhim Rashid akipata kura nne (4)
Wajumbe wa kamati ya Utendaji waliochagulia ni:
1. Mohamedi Nammenge - kura 24
2. Rashid Ntimizi - kura 23
3. Alfej Kehongo - Kura 21
Wajumbe walioteuliwa na kamati ya Utendaji ni:
1. Ally Masaninga - Katibu Mkuu
2. Mathew Kawogo - Afisa Mipango na Uchumi
3. Ally Shatry 'Chico' - Afisa Habari na Mahusiano
4. Bernard Chezue - Mhasibu
Mwenyekiti wa SDF pia amewateuwa wajumbe wawili (kwa mujibu wa katiba)kuingia kwenye kamati ya utendaji ambao ni:
1. Hamza mahosanya
2. Devotha Isisha
AHSANTENI
SDF - UMOJA, UPENDO NA MAENDELEO

God bless sdf
ReplyDelete#HapaKaziTu....!
ReplyDeleteSAFI SANA TUPIGIENI VIZURI KAZI YA SIMBA SC.
ReplyDeleteS.D.F ALPHA & OMEGA
ReplyDelete