Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU SIMBA DAMU FANS (SDF)
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Tawi la simba Damu Fans lenye makao makuu yake Tabata Kimanga wilaya ya ilala leo limefanya uchaguzi wa kwanza tangu lifunguliwe rasmi ...

Tawi la simba Damu Fans lenye makao makuu yake Tabata Kimanga wilaya ya ilala leo limefanya uchaguzi wa kwanza tangu lifunguliwe rasmi kuwa tawi na Rais wa Simba Ndugu Evance Aveva 

Ripot kamili ya uchaguzi huo ni kama ifuatavyo
KARIM BOIMANDA ambaye hakuwa na mpinzani amechagulia kuwa mwenyekiti wa SDF kwa kupata kura 20 kati ya 30 zilizopigwa, 10 ziliharibika na hakukuwa na kura ya HAPANA

SEVERINE MACHILLA amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kupata kura 23 huku mpinzani wake Rakhim Rashid akipata kura nne (4)

Wajumbe wa kamati ya Utendaji waliochagulia ni:
1. Mohamedi Nammenge - kura 24
2. Rashid Ntimizi - kura 23
3. Alfej Kehongo - Kura 21

Wajumbe walioteuliwa na kamati ya Utendaji ni:

1. Ally Masaninga - Katibu Mkuu

2. Mathew Kawogo - Afisa Mipango na Uchumi

3. Ally Shatry 'Chico' - Afisa Habari na Mahusiano

4. Bernard Chezue - Mhasibu

Mwenyekiti wa SDF pia amewateuwa wajumbe wawili (kwa mujibu wa katiba)kuingia kwenye kamati ya utendaji ambao ni:
1. Hamza mahosanya
2. Devotha Isisha

AHSANTENI

SDF - UMOJA, UPENDO NA MAENDELEO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top