Mtangazaji maarafu hapa nchini anayekimbiza kupitia Clouds FM, Milard Ayo ameweka wazi kuwa ataanzisha radio yake binafsi ambayo itajulikana kama TZA. Akizungumza na kipindi cha Sporah Show kupitia Clouds TV, Millard alisema studio yake ipo tayari na ataitambulisha rasmi hivi karibuni.
Hata hivyo Millard alikataa kuweka wazi iwapo radio yake itakuwa radio ya kawaida kama Clouds FM na nyinginezo au itakuwa radio ya online (ya mtandaoni tu). Mtangazaji huyo akasema hilo atalifichua hapo baadae lakini kwa sasa analiweka kwenye mabano. “Nina mambo matano ambayo nayaweka kwenye mabano, hilo ni mojawapo, nitaweka wazi siku za usoni,” alisema Millard amabaye alibainisha kuwa kuwa tayari ana maripota zaidi ya 10.
MILLARD AYO KUANZISHA RADIO YAKE
Title: MILLARD AYO KUANZISHA RADIO YAKE
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
Mtangazaji maarafu hapa nchini anayekimbiza kupitia Clouds FM, Milard Ayo ameweka wazi kuwa ataanzisha radio yake binafsi ambayo itajulikana...
Post a Comment