Kalaghe Secondary School Kalaghe Secondary School Author
Title: BREAKING NEWS: TFF YAPITISHA WACHEZAJI SABA WA KIGENI LIGI KUU NA WOTE WANA RUHUSIWA KUCHEZA WAKATI MMOJA UWANJANI
Author: Kalaghe Secondary School
Rating 5 of 5 Des:
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kutoka watano hadi sa...

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kutoka watano hadi saba kuanzia msimu ujao.
Hayo yaamepitishwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya TFF kilichofanyika kuanzia Saa 3:00 asubuhi hadi Saa 11:30, ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, eneo la Kikwajuni, Zanzibar.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho, kilichoongozwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi zimesema kwamba pamoja na hayo, kila klabu italazimika kumlipia kila mchezaji ada ya dola za Kimarekani 2,000 (Sh. Milioni 4) kwa msimu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top