Goli pekee la mchezo huo lilifungwa na Amis Tambwe katika ya 81 baada ya kuunganisha krosi ya Juma Abdul.
Toto Africa walioneka kuwadhibiti Yanga mpaka pale AmisTambwe alvowainua mashabiki wa Yanga.
Yanga anajihakikishia Ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya tatu mfululizo.
Post a Comment