SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SIMBA WAIMALIZA MWADUI TAIFA YANGA YACHAPWA
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Pazia La Ligi kuu limefungwa rasmi leo huku Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu Jumla ya mechi nane zilipigwa viwanja tofauti n...
Pazia La Ligi kuu limefungwa rasmi leo huku Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa wa Ligi kuu

Jumla ya mechi nane zilipigwa viwanja tofauti nchini na mechi zote zilianza mda mmoja

Simba wakicheza katika Uwanja wa Taifa waliibuka na ushindi wa bao 2-1 magoli ya Simba yakifungwa na Shiza Kichuya kwa penati na Ibrahim Ajib

Huku tukishudia Jkt Ruvu, African Lyon, na Toto African zikishuka mpaka daraja la kwanza


Matokeo mengine ya Lig kuu.

Mbao FC 1-0 Young Africans

Simba SC 2-1 Mwadui FC

Azam FC  0-1 Kagera Sugar

Mtibwa Sugar 3-1 Toto Africans

Majimaji FC 2-1 Mbeya City

Stand United 2-1 Ruvu Shooting

Ndanda FC 2-0 Jkt Ruvu

Tanzania Prisons 0-0 African Lyon

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top