Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti boys wametoshana nguvu na mabingwa watetezi wa kombe la vijana afcon.
Ikicheza mchezo wake wa kwanza katika kundi b Serengeti walionekana kuelemewa zaidi na Mali ambao walimiliki mpira kwa asilimia kubwa
Serengeti boys ilicheza bila nahodha wake Issa Makamba ambae aliumia katika mazoezi
Serengeti Boys watatupa karata yao ya Pili Mei 18 dhidi ya Angola
SERENGETI BOYS WAANZA NA SARE GABON
Title: SERENGETI BOYS WAANZA NA SARE GABON
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti boys wametoshana nguvu na mabingwa watetezi wa kombe la vijana afcon. Ikicheza mchezo wake...
Post a Comment