Ligi kuu Vodacom Tanzania bara imeendelea tena wikiendi iliyopita
na hapa tumekuekea matokeo yote ya wikiendi iliyoisha katika raundi ya tisa
Simba 2 – 0 Kagera
Sugar
Azam Fc 0 – 0 Yanga
Ruvu Stars 1 - 1
Mwadui
Stand United 1 - 1 African
Lyon
Mtibwa Sugar 0 - 0 Tanzania
Prisons
Toto Africans 1 – 2 Maji Maji
Ruvu shooting 1 – 0 Mbeya city
Mwendo wa vichapo tuu kichuyaaaaaaa. Imoooooo
ReplyDeleteNaamin hata Rais wa nchi anajikausha tu lkn matokeo yanamfika na huko aliko anashangilia
ReplyDelete