SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: LIGI KUU TANZANIA BARA: SIMBA NA MBEYA CITY HAPATOSHI LEO
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara 'Vodacom' (VPL) inaendelea leo Jumatano Oktoba 12, 2016 kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja to...
Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara 'Vodacom' (VPL) inaendelea leo Jumatano Oktoba 12, 2016 kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja tofauti nchini.
Wekundu wa Msimbazi Simba watakuwa katika dimba la Uwanja wa Sokoine wakiwa  wageni wa Mbeya City.

Simba ndio wanaoongoza ligi hiyo kwa kuwa na pointi 17.

Mechi zingine za Ligi Kuu Tanzania Bara leo

Mbeya City vs Simba
Stand United vs Azam
Jkt Ruvu vs Prisons
Majimaji Vs Kagera
Yanga vs Mtibwa
Mbao Fc vs Toto Africa
Mwadui vs African Lyon

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top