Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amekabidhiwa rasmiuwanja wa Taifa wa Uhuru leo Agosti 22, 2016, baada ya ukarabati mkubwa wa uwanja huo kukamilika karibuni
Waziri huyo mwenye dhamana amewapongeza wakandarasi ambao ni kampuni ya China ya Beijing Construction Engineering Group Company Limited, (BCEG) kwa kazi nzuri walofanya, pia amewataka watumiaji wa uwanja huo kulipa ada za matumizi kama inavyostahili ili ziweze kugharimia matunzo ya uwanja.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya BCAG, Cheng Long Hai, amesema uwanja huo umewekewa mifumo yote muhimu ya kuhifadhia maji na mifumo ya maji taka, na kuishukuru serikaliya Tanzania kwa kuiaminikampuni yake kutekeleza mradi huo mkubwa.
Post a Comment