Timu ya Taifa stars imeshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Afcon 2017 baada ya kupoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya Misri"Pharaoh" katika uwanja wa Taifa.
Magoli ya Misri yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 43 faulo kali na dakika ya 58
Tanzania imebaki na pointi 1 tu mechi ya mwisho Taifa stars atasafiri kwenda Nigeria.
TAIFA STARS YASHINDWA KUFUZU AFCON
Title: TAIFA STARS YASHINDWA KUFUZU AFCON
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Taifa stars imeshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Afcon 2017 baada ya kupoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya Misri"Pharaoh" ...
Post a Comment