MKURUGENZI WA HABARI NA MAWASILIANO ALEXANDER SANGA |
Akizungumza na Simba damu fans mwenyekiti wa timu ya stand united Aman Vicent ametangaza uongozi huo ambao ni Bodi ya wakurugenzi ya stand united iliyokaa Leo imetangaza kamati yake ya uchaguzi kama ifuatavyo.
Alan Maduhu - mwenyekiti. Denis deogratius - makamu.
Wajumbe ni Yusuph john,Omar kiyungi
Ezron mwanjelenga.
Pia bodi imemteua Bwana Alexander Sanga kuwa mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa timu hiyo
Post a Comment