SDF SPORTS
Sunday, 10 June 2018
GOR MAHIA YATETEA UBINGWA WA SPORTPESA
›
Gor Mahia imetawazwa mabingwa wa SportPesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba mabao 2-0 katika mchezo wa fai...
2 comments:
SINGIDA MSHINDI WA TATU SPORTPESA
›
Singida United imekuwa mshindi wa tatu katika michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati 4-...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA GOR MAHIA
›
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Paul Bukaba 4. Yusuf Mlipili 5. Eraston nyoni (c) 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Mzamiru ...
2 comments:
Saturday, 9 June 2018
MASOUD: TUTAKUJA KIVINGINE KESHO WATU HAWATAAMINI
›
Kaimu kocha mkuu wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema katika mchezo wa kesho wa fainali dhidi ya Gor Mahia watacheza tofauti na watu wal...
TAARIFA YA DAKTARI JUU YA JERAHA LA NGOMA
›
Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa amethibitisha kuwa mshambuliaji Donald Ngoma atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tisa. Dokta Mwan...
SIMBA: TUNAIHESHIMU GOR LAKINI HATUIOGOPI
›
Uongozi wa klabu ya Simba umekiri kuwa mchezo wa kesho wa fainali ya SportPesa Super Cup dhidi ya Gor Mahia utakuwa mgumu ingawa wamejipan...
Friday, 8 June 2018
KANE AJIFUNGA ZAIDI SPURS
›
Nahodha wa Uingereza, Harry Kane ameongeza mkataba mrefu na timu yake ya Tottenham Hotspur iliyomlea tangu akiwa mtoto. Kane amesai...
MANULA ASHANGAZWA NA WAAMUZI KUMZUIA KUWEKA TAULO LAKE GOLINI
›
Mlinda mlango wa timu ya Simba, Aishi Manula ameshangazwa na waamuzi wa Kenya kumzuia kuweka taula lake golini kwenye hatua za penati waka...
YANGA YATHIBITISHA KUTOKUSHIRIKI KAGAME CUP
›
Timu ya Yanga imethibitisha kuwa haitashiriki michuano ya kombe la Kagame kutokana na ratiba ilivyowabana ambapo tayari imewapa mapumziko ...
MASOUD AWAACHIA SIMBA UAMUZI WA KUMPA MIKOBA YA LECHANTRE
›
Kocha msaidizi wa timu ya Simba, Masoud Djuma amesema maamuzi ya kumfanya kuwa kocha mkuu kuchukua nafasi Pierre Lechantre yapo kwenye uon...
Thursday, 7 June 2018
KAGERE AIPELEKA GOR MAHIA FAINALI SPORTPESA
›
Mabao mawili ya mshambuliaji Meddy Kagere yametosha kuipeleka Gor Mahia fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuilaza Singid...
SIMBA YATANGULIA FAINALI SPORTPESA SUPER CUP
›
Timu ya Simba imekuwa ya kwanza kutinga hairs ya fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega Homeboyz kwa mikwaj...
›
Home
View web version