SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: SAA MOJA KABLA YA MTANANGE, VIRUNGU VYATEMBEA UWANJA WA UHURU.
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Jeshi la Polisi limetumia nguvu kuwaondoa baadhi ya mashabiki wa timu za Simba na Yanga muda wakati muamba hivyo ikiingia katika uwanja wa...
Jeshi la Polisi limetumia nguvu kuwaondoa baadhi ya mashabiki wa timu za Simba na Yanga muda wakati muamba hivyo ikiingia katika uwanja wa Uhuru.

Basi la Yanga lilikuwa la kwanza kuingia uwanjani hapo ambapo makomandoo wa timu hiyo walijipanga pembeni ili wachezaji wao wasiguswe na mtu yoyote.

Dakika tano baadae wakati basi la Simba ilikiwasili uwanjani hapo ndipo kijana mmoja ambaye alikuwa ameshika chupa yenye kimiminika ndani ambacho alienda kumwaga mbele ya basi la Wekundu kitu kilichopelekea kupata kipigo cha hali ya huu.

Mashabiki ambao wamekamatwa wakifanya fujo wamehifadhiwa kwenye magari maalum ya Polisi mpaka mchezo huo umalizike.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top