SDF SPORTS SDF SPORTS Author
Title: ARGENTINA YAZIDI KUPOTEZA MATUMAINI
Author: SDF SPORTS
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya Argentina wako hatarini kukosa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu 1970 baada ya kutoka sare na Peru ya bila kufu...
Timu ya Argentina wako hatarini kukosa kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu 1970 baada ya kutoka sare na Peru ya bila kufungana
Amerika Kusini inapeleka timu nne katika michuano hiyo itakayofanyika Urusi mwaka 2018.
Argentina wamo katika nafasi ya sita wakiwa wamebaki na mechi moja pekee.
Argentina itawalazimu kushinda mchezo wa mwisho dhidi ya Ecuador ili wapate nafasi ya kucheza michezo ya kufuzu 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top