Ligi kuu soka Tanzania bara baina ya Simba na
wenyeji Azam FC limeisha kwa sare ya bila kufungana katika mchezo mkali uliopigwa
kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam.
Simba imeshindwa kutamba katika uwanja wa chamanzi baada ya Azam kuwadhibiti vyema washambuliaji wa Simba
Simba imeshindwa kutamba katika uwanja wa chamanzi baada ya Azam kuwadhibiti vyema washambuliaji wa Simba
Simba inaendelea
kuongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 4 Azam wakiwa nafasi ya 3 na pointi 4
Mchezo mwingine wa
ligi ulikuwa ni kati ya Tanzania Prisons ikiwa nyumbani ilikubali kwenda sare
na Maji maji ya Songea wakifungana bao 2-2
Post a Comment