Mtanzania Hasheem Thabit amejiunga na timu ya kikapu
ya Yokohama B corsairs ya Ligi kuu ya Japan kwa dau ambalo halijawekwa wazi na
Hasheem atavaa jezi namba 34
Hasheem alikuwa katika ligi ya kikapu ya Marekani
maarufu kama NBA katika timu ya OKC Thunder
Ligi ya japana inatarajiwa kuanza wikiendi hii


Post a Comment